1 Fal. 7:51 SUV

51 Hivyo ikamalizika kazi yote Sulemani mfalme aliyoifanya katika nyumba ya BWANA. Sulemani akaviingiza vile vitu alivyovitakasa Daudi baba yake, yaani, fedha, na dhahabu, na vyombo; akavitia ndani ya hazina za nyumba ya BWANA.

Kusoma sura kamili 1 Fal. 7

Mtazamo 1 Fal. 7:51 katika mazingira