1 Fal. 8:18 SUV

18 Lakini BWANA akamwambia Daudi baba yangu, Kwa kuwa ilikuwa moyoni mwako kujenga nyumba kwa jina langu, ulifanya vema kuwaza hivi moyoni mwako.

Kusoma sura kamili 1 Fal. 8

Mtazamo 1 Fal. 8:18 katika mazingira