21 Na humo sanduku hili nimelifanyizia mahali, ambalo ndani yake mna maagano ya BWANA, aliyoyafanya na baba zetu, hapo alipowatoa katika nchi ya Misri.
Kusoma sura kamili 1 Fal. 8
Mtazamo 1 Fal. 8:21 katika mazingira