1 Fal. 8:37 SUV

37 Ikiwa nchi imeingia njaa, au tauni, au ukosefu wa mvua, au ukungu, au nzige, au panzi; ikiwa adui wamewahusuru katika nchi ya miji yao; au ukiwapo msiba wo wote, au uele wo wote;

Kusoma sura kamili 1 Fal. 8

Mtazamo 1 Fal. 8:37 katika mazingira