7 basi nitawakatilia Israeli mbali na nchi hii niliyowapa; na nyumba hii niliyoitakasa kwa jina langu, nitaitupilia mbali na macho yangu, na Israeli watakuwa mithali na neno la tusi katika mataifa yote.
Kusoma sura kamili 1 Fal. 9
Mtazamo 1 Fal. 9:7 katika mazingira