1 Nya. 10:8 SUV

8 Hata ikawa siku ya pili yake Wafilisti walipokwenda kuwateka nyara hao waliouawa, walimwona Sauli na wanawe wameanguka juu ya mlima Gilboa.

Kusoma sura kamili 1 Nya. 10

Mtazamo 1 Nya. 10:8 katika mazingira