1 Nya. 11:15 SUV

15 Tena, watatu miongoni mwa wale thelathini waliokuwa wakuu wakashuka mwambani, wakamwendea Daudi, hata pango la Adulamu; na jeshi la Wafilisti walikuwa wamefanya kambi bondeni mwa Warefai.

Kusoma sura kamili 1 Nya. 11

Mtazamo 1 Nya. 11:15 katika mazingira