1 Nya. 11:18 SUV

18 Basi hao watatu wakapenya jeshi la Wafilisti, wakateka maji kutoka kile kisima cha Bethlehemu, kilicho karibu na lango, wakayachukua, wakamletea Daudi; walakini Daudi hakukubali kuyanywa, akayamimina mbele za BWANA;

Kusoma sura kamili 1 Nya. 11

Mtazamo 1 Nya. 11:18 katika mazingira