1 Nya. 12:23 SUV

23 Na hizi ni hesabu za vichwa vya watu wenye silaha za vita, waliokuja Hebroni kwa Daudi, ili kumgeuzia ufalme wa Sauli, sawasawa na neno la BWANA.

Kusoma sura kamili 1 Nya. 12

Mtazamo 1 Nya. 12:23 katika mazingira