1 Nya. 12:33 SUV

33 Wa Zabuloni, watu wawezao kwenda pamoja na jeshi, hodari wa kupanga vita, wenye zana za vita za kila namna, hamsini elfu; askari wastadi wasiokuwa wenye moyo wa kusita-sita.

Kusoma sura kamili 1 Nya. 12

Mtazamo 1 Nya. 12:33 katika mazingira