1 Nya. 12:8 SUV

8 Na wa Wagadi wakajitenga kumfuata Daudi ngomeni huko nyikani, waume mashujaa, watu waliozoea vita, walioweza kutumia ngao na mkuki; ambao nyuso zao zilikuwa kama nyuso za simba, nao walikuwa wepesi kama kulungu juu ya milima;

Kusoma sura kamili 1 Nya. 12

Mtazamo 1 Nya. 12:8 katika mazingira