1 Nya. 14:1 SUV

1 Naye Hiramu, mfalme wa Tiro, akatuma wajumbe kwa Daudi, akampelekea na mierezi, na waashi, na maseremala, ili wamjengee nyumba.

Kusoma sura kamili 1 Nya. 14

Mtazamo 1 Nya. 14:1 katika mazingira