1 Nya. 14:11 SUV

11 Basi wakapanda mpaka Baal-perasimu, Daudi naye akawapiga huko; Daudi akasema, BWANA amewafurikia adui zangu kwa mkono wangu, kama mafuriko ya maji. Basi wakapaita mahali pale jina lake Baal-perasimu.

Kusoma sura kamili 1 Nya. 14

Mtazamo 1 Nya. 14:11 katika mazingira