1 Nya. 14:8 SUV

8 Na waliposikia hao Wafilisti ya kwamba Daudi ametiwa mafuta ili awe mfalme juu ya Israeli wote, Wafilisti wote wakapanda kumtafuta Daudi; naye Daudi akasikia, akatoka nje kupigana nao.

Kusoma sura kamili 1 Nya. 14

Mtazamo 1 Nya. 14:8 katika mazingira