1 Nya. 15:2 SUV

2 Ndipo Daudi akasema, Haimpasi mtu awaye yote kulichukua sanduku la Mungu, isipokuwa Walawi peke yao; kwa kuwa hao ndio aliowachagua BWANA, ili walichukue sanduku la Mungu, na kumtumikia daima.

Kusoma sura kamili 1 Nya. 15

Mtazamo 1 Nya. 15:2 katika mazingira