1 Nya. 15:24 SUV

24 Na Shebania, na Yoshafati, na Nethaneli, na Amasai, na Zekaria, na Benaya, na Eliezeri, makuhani, wakapiga baragumu mbele ya sanduku la Mungu; na Obed-edomu na Yehia walikuwa mabawabu kwa ajili ya sanduku.

Kusoma sura kamili 1 Nya. 15

Mtazamo 1 Nya. 15:24 katika mazingira