1 Nya. 16:37 SUV

37 Basi akawaacha huko, mbele ya sanduku la agano la BWANA, Asafu na nduguze, ili watumike mbele ya sanduku daima, kila siku kama ilivyokuwa kazi yake.

Kusoma sura kamili 1 Nya. 16

Mtazamo 1 Nya. 16:37 katika mazingira