1 Nya. 16:42 SUV

42 na pamoja nao Hemani na Yeduthuni wenye baragumu na matoazi, kwa hao watakaovumisha sauti, na vinanda kwa ajili ya hizo nyimbo za Mungu; na hao wana wa Yeduthuni wawepo mlangoni.

Kusoma sura kamili 1 Nya. 16

Mtazamo 1 Nya. 16:42 katika mazingira