1 Nya. 17:13 SUV

13 Nitakuwa baba yake, naye atakuwa mwanangu; wala sitamwondolea fadhili zangu, kama nilivyomwondolea yeye aliyekuwa kabla yako;

Kusoma sura kamili 1 Nya. 17

Mtazamo 1 Nya. 17:13 katika mazingira