1 Nya. 18:11 SUV

11 Hivi pia mfalme Daudi akavifanya wakfu kwa BWANA, pamoja na hiyo fedha na dhahabu, aliyoteka nyara kwa mataifa yote; kwa Edomu, na kwa Moabu, na kwa wana wa Amoni, na kwa Wafilisti, na kwa Amaleki.

Kusoma sura kamili 1 Nya. 18

Mtazamo 1 Nya. 18:11 katika mazingira