1 Nya. 19:12 SUV

12 Akasema, Wakiwa Washami ni hodari mno kwangu, ndipo wewe utanisaidia; lakini wana wa Amoni wakiwa ni hodari mno kwako, ndipo mimi nitakusaidia wewe.

Kusoma sura kamili 1 Nya. 19

Mtazamo 1 Nya. 19:12 katika mazingira