1 Nya. 19:15 SUV

15 Na wana wa Amoni walipoona ya kwamba Washami wamekimbia, wakakimbia nao mbele ya Abishai, nduguye, wakaingia mjini. Ndipo Yoabu akaja Yerusalemu.

Kusoma sura kamili 1 Nya. 19

Mtazamo 1 Nya. 19:15 katika mazingira