1 Nya. 19:7 SUV

7 Basi wakajiajiria magari thelathini na mbili elfu, na mfalme wa Maaka na watu wake; nao walikuja wakatua mbele ya Medeba. Na wana wa Amoni wakakusanyika kutoka miji yao, wakaja vitani.

Kusoma sura kamili 1 Nya. 19

Mtazamo 1 Nya. 19:7 katika mazingira