1 Nya. 2:23 SUV

23 Na Geshuri na Aramu wakawapokonya miji ya Yairi, pamoja na Kenathi na miji yake, jumla yote miji sitini. Hao wote ni wana wa Makiri, babaye Gileadi.

Kusoma sura kamili 1 Nya. 2

Mtazamo 1 Nya. 2:23 katika mazingira