1 Nya. 2:34 SUV

34 Basi huyo Sheshani alikuwa hana wana wa kiume, ila binti. Naye Sheshani alikuwa na mtumwa, Mmisri, jina lake akiitwa Yarha.

Kusoma sura kamili 1 Nya. 2

Mtazamo 1 Nya. 2:34 katika mazingira