1 Nya. 21:13 SUV

13 Naye Daudi akamwambia Gadi, Nimeingia katika mashaka sana; basi sasa na nianguke katika mkono wa BWANA; kwa kuwa rehema zake ni nyingi sana; wala nisianguke katika mkono wa wanadamu.

Kusoma sura kamili 1 Nya. 21

Mtazamo 1 Nya. 21:13 katika mazingira