18 Ndipo huyo malaika wa BWANA akamwamuru Gadi kwamba amwambie Daudi, ya kuwa Daudi akwee, akamwinulie BWANA madhabahu katika kiwanja cha kupuria cha Arauna, Myebusi.
Kusoma sura kamili 1 Nya. 21
Mtazamo 1 Nya. 21:18 katika mazingira