1 Nya. 21:29 SUV

29 Kwa maana ile maskani ya BWANA, aliyoifanya Musa jangwani, na madhabahu ya sadaka ya kuteketezwa, vilikuwapo wakati huo mahali pa juu pa Gibeoni.

Kusoma sura kamili 1 Nya. 21

Mtazamo 1 Nya. 21:29 katika mazingira