1 Nya. 21:4 SUV

4 Lakini neno la mfalme likawa na nguvu juu ya Yoabu. Kwa hiyo Yoabu akaenda zake, akapita kati ya Israeli wote, akafika Yerusalemu.

Kusoma sura kamili 1 Nya. 21

Mtazamo 1 Nya. 21:4 katika mazingira