1 Nya. 21:8 SUV

8 Naye Daudi akamwambia Mungu, Nimekosa sana, kwa kuwa nimelifanya jambo hili; lakini sasa uuondolee mbali, nakusihi, uovu wa mtumwa wako; kwani nimefanya upumbavu kabisa.

Kusoma sura kamili 1 Nya. 21

Mtazamo 1 Nya. 21:8 katika mazingira