13 Ndipo utakapofanikiwa, ukiangalia kuzitenda amri, na hukumu, BWANA alizomwagizia Musa juu ya Israeli; uwe hodari, na wa moyo mkuu; usiogope wala usifadhaike.
Kusoma sura kamili 1 Nya. 22
Mtazamo 1 Nya. 22:13 katika mazingira