1 Nya. 22:18 SUV

18 Je! Si BWANA, Mungu wenu, aliye pamoja nanyi? Na kuwastarehesha pande zote? Kwa kuwa wenyeji wa nchi amewatia mkononi mwangu; nayo nchi imetiishwa mbele za BWANA, na mbele ya watu wake.

Kusoma sura kamili 1 Nya. 22

Mtazamo 1 Nya. 22:18 katika mazingira