1 Nya. 22:7 SUV

7 Daudi akamwambia Sulemani mwanawe, Kwangu mimi nia yangu ilikuwa kujenga nyumba kwa ajili ya jina la BWANA, Mungu wangu.

Kusoma sura kamili 1 Nya. 22

Mtazamo 1 Nya. 22:7 katika mazingira