1 Nya. 23:1 SUV

1 Basi Daudi alikuwa mzee, ameshiba siku; akamtawaza mwanawe Sulemani awe mfalme juu ya Israeli.

Kusoma sura kamili 1 Nya. 23

Mtazamo 1 Nya. 23:1 katika mazingira