17 Na wana wa Eliezeri; Rehabia mkuu wao. Yeye Eliezeri hakuwa na wana wengine; lakini wana wa Rehabia walikuwa wengi sana.
Kusoma sura kamili 1 Nya. 23
Mtazamo 1 Nya. 23:17 katika mazingira