1 Nya. 23:24 SUV

24 Hao walikuwa wana wa Lawi, kwa kufuata mbari za baba zao, yaani, vichwa vya mbari za baba zao waliohesabiwa, kwa hiyo hesabu ya majina yao kwa vichwa, hao walioifanya kazi ya utumishi wa nyumba ya BWANA, wenye miaka ishirini na zaidi.

Kusoma sura kamili 1 Nya. 23

Mtazamo 1 Nya. 23:24 katika mazingira