1 Nya. 23:32 SUV

32 tena walinde ulinzi wa hema ya kukutania, na ulinzi wa patakatifu, na ulinzi wa wana wa Haruni, ndugu zao, katika utumishi wa nyumba ya BWANA.

Kusoma sura kamili 1 Nya. 23

Mtazamo 1 Nya. 23:32 katika mazingira