1 Nya. 23:4 SUV

4 Katika hao ishirini na nne elfu walikuwa wa kusimamia kazi ya nyumba ya BWANA; na sita elfu walikuwa maakida na makadhi;

Kusoma sura kamili 1 Nya. 23

Mtazamo 1 Nya. 23:4 katika mazingira