1 Nya. 24:4 SUV

4 Wakaonekana wakuu wengi wa wana wa Eleazari kuliko wa wana wa Ithamari; wakagawanyika hivi; wa wana wa Eleazari kulikuwa na kumi na sita, waliokuwa wakuu wa mbari za baba zao; na wa wana wa Ithamari, sawasawa na mbari za baba zao, wanane.

Kusoma sura kamili 1 Nya. 24

Mtazamo 1 Nya. 24:4 katika mazingira