1 Nya. 25:3 SUV

3 Wa Yeduthuni; wana wa Yeduthuni; Gedalia, na Seri, na Yeshaya, na Hashabia, na Matithia, [na Shimei], watu sita; walioamriwa na baba yao Yeduthuni mwenye kinubi, aliyetabiri katika kumshukuru na kumsifu BWANA.

Kusoma sura kamili 1 Nya. 25

Mtazamo 1 Nya. 25:3 katika mazingira