1 Nya. 25:6 SUV

6 Hao wote waliamriwa na baba yao, waimbe nyumbani mwa BWANA, wakiwa na matoazi, vinanda, na vinubi, kwa utumishi wa nyumba ya Mungu; Asafu, Yeduthuni, na Hemani wakiwa wanaamriwa na mfalme.

Kusoma sura kamili 1 Nya. 25

Mtazamo 1 Nya. 25:6 katika mazingira