1 Nya. 26:12 SUV

12 Katika hao zilikuwa zamu za mabawabu, yaani, katika hao wakuu, wenye ulinzi sawasawa na ndugu zao, wa kutumika katika nyumba ya BWANA.

Kusoma sura kamili 1 Nya. 26

Mtazamo 1 Nya. 26:12 katika mazingira