1 Nya. 26:14 SUV

14 Kura ya mashariki ya lango ikamwangukia Meshelemia. Ndipo wakamtupia kura Zekaria mwanawe, mshauri mwenye busara; na kura yake ikamtokea ya kaskazini.

Kusoma sura kamili 1 Nya. 26

Mtazamo 1 Nya. 26:14 katika mazingira