1 Nya. 26:26 SUV

26 Huyo Shelomothi na ndugu zake walikuwa juu ya hazina zote za vitu vilivyowekwa wakfu, alivyoviweka wakfu mfalme Daudi, na hao wakuu wa mbari za mababa, na maakida wa maelfu na wa mamia, na maakida wa jeshi.

Kusoma sura kamili 1 Nya. 26

Mtazamo 1 Nya. 26:26 katika mazingira