1 Nya. 26:28 SUV

28 Na vyote alivyoviweka wakfu Samweli mwonaji, na Sauli mwana wa Kishi, na Abneri mwana wa Neri, na Yoabu mwana wa Seruya; na mtu ye yote aliyekiweka wakfu kitu cho chote, kilikuwa chini ya mkono wa Shelomothi na nduguze.

Kusoma sura kamili 1 Nya. 26

Mtazamo 1 Nya. 26:28 katika mazingira