1 Nya. 27:10 SUV

10 Akida wa saba wa mwezi wa saba alikuwa Heksi, Mpeloni, wa wana wa Efraimu; na katika zamu yake walikuwa watu ishirini na nne elfu.

Kusoma sura kamili 1 Nya. 27

Mtazamo 1 Nya. 27:10 katika mazingira