1 Nya. 28:18 SUV

18 na kwa madhabahu ya kufukizia, dhahabu iliyosafika sana kwa uzani; na dhahabu kwa mfano wa gari, yaani, makerubi, yenye kutandaza mabawa, na kulifunika sanduku la agano la BWANA.

Kusoma sura kamili 1 Nya. 28

Mtazamo 1 Nya. 28:18 katika mazingira