1 Nya. 28:5 SUV

5 tena katika wana wangu wote (kwani BWANA amenipa wana wengi), amemchagua Sulemani mwanangu ili aketi juu ya kiti cha enzi cha ufalme wa BWANA, juu ya Israeli.

Kusoma sura kamili 1 Nya. 28

Mtazamo 1 Nya. 28:5 katika mazingira