1 Nya. 28:8 SUV

8 Basi sasa, machoni pa Israeli wote, hilo kusanyiko la BWANA, na masikioni pa Mungu wetu, angalieni na kuzitafuta amri zote za BWANA, Mungu wenu, ili mpate kuimiliki nchi hii njema, na kuwarithisha wana wenu baada yenu hata milele.

Kusoma sura kamili 1 Nya. 28

Mtazamo 1 Nya. 28:8 katika mazingira