1 Nya. 29:12 SUV

12 Utajiri na heshima hutoka kwako wewe, nawe watawala juu ya vyote; na mkononi mwako mna uweza na nguvu; tena mkononi mwako mna kuwatukuza na kuwawezesha wote.

Kusoma sura kamili 1 Nya. 29

Mtazamo 1 Nya. 29:12 katika mazingira